Home SPORTS MBOMBO AKIPIGA ‘HAT-TRICKS’

MBOMBO AKIPIGA ‘HAT-TRICKS’

 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Kikosi cha Azam wamefanikiwa kukata tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kumaliza nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Biashara United leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Hata hivyo mshambuliaji Mkongo Idris Mbombo akifunga mabao matatu huku bao lingine likifungwa na Never Tigere.