Home Uncategorized

 

MEI MOSI KATA YA KAMSAMBA WILAYA YA MOMBA.

M/kiti kamati- Mwl,DAY

Katibu Mwl,Kabelwa(Mimi)

Shule zilizo shiriki.Usoche,Ntembo,Kamsamba,Mkonko,Mchangani,Kamwala,Senga,Malangwa na Uwanda sekondari.

Ukumbi wa SAFI HALL

Megeni rasmi MH.DIWANI KATA YA KAMSAMBA-KYALAMBWENE

Akiongozana na 

Afisa elimu kata Andrew mwampashi-maadhimisho yatulete pamoja Kikazi,hasa ktk ujenzi wa Taifa.

MKUU WA UWANDA SEKONDARI- Natus kiwale–shukrani kwa walimu wote kuadhimisha mei mos,ikawe chachu na ari ya utendaji kazi.Mkuu wa nchi amesema Jambo letu liko palepale.

Afisa mtendaji kata Bwana MILAMBO- amewashukuru wafanyakazi kwakujitoa kwao Kikazi,umoja mshikamano ukawe chachu maofisini kwetu kwa maslahi ya kata yetu.

CLEMENCE MAPUNDA- katibu kata wa ccm,- akimkaribibisha mgeni rasm- anatambua mchango wa walimu ktk kata,umoja na mshikamano viendelee ili kata yetu isonge mbele,idara ualim,afya,mifugo,kilimo na ulinzi tuwekitu kimoja.

MGENI RASM-anashukuru kwa heshma aliyo pewa ya ugeni rasmi’ anatambua mchango wa idara zote ktk kuleta maendeleo ya kata ya kamsamba.walimu na wataalam ataendelea kuwathamini,

kuwa pamoja nao kuhakikisha kata yetu inasongabele

Kada zote ziwe kitu kimoja.pia

Nitakutana na wafanyakazi wote ndani ya kata yangu tuajidili maendeleo ya kata (mwezi July)akimwagiza mtendaji aratibu hilo

Wafanya kazi tufanye kazi siasa tuwaachie wana siasa.

MOTISHA elfu 85’000 kusaidia majumuku ya kamati ya maandalizi..

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here