Home LOCAL MATUKIO KATIKA PICHA: NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL AWASILI KATIKA OFISI...

MATUKIO KATIKA PICHA: NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL AWASILI KATIKA OFISI ZA RC MARA

Mapema leo, Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewasili katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Mara na kupokelewa na mwenyeji wake Mhe. Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Mara.
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel yupo katika Ziara ya Kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu, Madawa ya Kulevya na Magonjwa yasiyoambukiza ambayo katika Mkoa wa Mara itatembelea Mgodi wa North Mara pamoja na Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl. Julius Nyerere.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here