Home SPORTS UWANJA WA MANUNGU COMPLEX WAPIGWA STOP MICHEZO YA LIGI KUU

UWANJA WA MANUNGU COMPLEX WAPIGWA STOP MICHEZO YA LIGI KUU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na:mwandishi wetu 

BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) leo imeufungia tena Uwanja wa Manungu Complex, uliopo Tuariani, mkoani Morogoro baada ya mechi mbili tu tangu ufunguliwe.