NA: MWANDISHI WETU.
MABINGWA wa Tanzania bara simba wamepanga katika kundi C michuano ya kuwania kombe mapinduzi.
Katika kundi c Simba imepangwa na Mlandege, Selem View.
Kwa mujibu wa ratiba hiyo simba kitaamza na kuumana na Selem View January 5 katika dimba la Amani majira ya saa 10 jioni.
Huku katika mchezo wa pili utakaochezwa January 7 dhdi ya Mlandege ambao utafanyija katika dimbabla Amani saa 2:15 Usiku