Home LOCAL RAIS SAMIA AFUNGUA KIWANDA CHA ALSEWEDY ELECTRIC EAST AFRICAN LTD KISARAWE 11...

RAIS SAMIA AFUNGUA KIWANDA CHA ALSEWEDY ELECTRIC EAST AFRICAN LTD KISARAWE 11 KIGAMBONI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye uzinduzi wa Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Desemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Kampuni ya Elsewedy Bw. Ahmed Elsewedy, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geoffrey Mwambe (kulia), wakati wa uzinduzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam

  Viongozi wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati akizindua rasmi Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasalimia Wananchi wa Kibada Wilaya ya Kigamboni alipokua njiani akielekea Kisarawe II kwa ajili ya kuzindua Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Desemba, 2021.

PICHA NA IKULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here