Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU ATEMBELEA JENGO JIPYA LA MAKUMBUSHO KATIKA MJI MPYA WA...

RAIS SAMIA SULUHU ATEMBELEA JENGO JIPYA LA MAKUMBUSHO KATIKA MJI MPYA WA SERIKALI CAIRO MISRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uhifadhi wa nyaraka mbalimbali alipotembelea  Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu alipotembelea  Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here