Home SPORTS PABLO AKOSHWA NA KIWANGO CHA WACHEZAJI

PABLO AKOSHWA NA KIWANGO CHA WACHEZAJI

Na:Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

KOCHA mkuu wa mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Pablo Franco amesema kuwa  amefurahishwa na  kiwango walichoonyesha wachezaji kwa kujituma na kupata ushindi mnono  dhidi ya Red Arrows 

Pablo amesema kuwa kila mchezaji amejituma na kufanya kazi ya kutimimiza majukumu  ya kazi ambalo aliwafundisha katika mazoezi.

Ameongeza kuwa kikosi chake kilikuwa na uwezo wa kupata mabao zaidi ya matatu ambayo wamepata lakini pia wachezaji wangeongeza umakini katika nafasi tulizotengeneza basi  wangekuwa na mabao mengi zaidi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here