Home SPORTS TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE U20 YAENDA KUKIPIGA NA ERITREA

TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE U20 YAENDA KUKIPIGA NA ERITREA

Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” imeondoka leo kuelekea Eritrea kwa mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Eritrea utakaochezwa Septemba 25, 2021 Eritrea.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here