Home SPORTS KMC YATANGAZA JESHI KAMILI

KMC YATANGAZA JESHI KAMILI

Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

UONGOZI wa timu ya KMC imetanga wachezaji wake 29 ambao watashiriki Katika msimu mpya 2021/2022 wa ligi kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuanza Septemba  27 mwaka huu.

mujibu wa Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala anasema kuwa kwa upande wa makipa Juma Kaseja, Faruk  Shikhalo, Sudi Dondola, Denis Richard. 

Kwa upande wa mabeki ni  Andrew Chikupe, Ismail  Gambo, Mohamed Kassimu, Abdulrazack Mohamed, Kelvin Kijiri, Hassan Khamis Ramadhan Ally Ramadhan, Nickson Clement Kibabage.

Aliongeza kuwa Katika upande wa viungo Jean Baptiste Mugiraneza, Masoud Abdallah Kabaye Mohamed Samatta, Kenny Ally Mwambungu

Awesu Awesu, Abdul Hillary, Hassan Salum Kabunda, Iddi Kipagwile, Miraji Athuman, Martin Kigi, Emmanuel Mvuyekure.

Pia washambuliaji ni Matheo Anthony,Sadalla Lipangile,Charles Ilamfia,Nassor Saadun,Hassan Kapalata,Clif Buyoya

Upande wa kocha mkuu ni  John Simkoko huku pia kocha msaidizi  ni Habibu Kondo,Hamad Ally

Huku kocha wa magoli kipa ni  fatuma Omary.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here