Home SPORTS KIKOSI CHA SIMBA KIPO IMARA: RWEYEMAMU.

KIKOSI CHA SIMBA KIPO IMARA: RWEYEMAMU.



Mwandishi wetu.

Kikosi Cha Simba kinaendelea na mazoezi katika viwanja vyao vya Mo Simba  Arena Kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ngao ya jamii dhidi ya Yanga.

Meneja wa timu ya Simba Patric Rweyemamu  amesema kuwa wachezaji wapo Kwenye hali nzuri na hakuna majeruhi kitu ambacho kinalifanya benchi la ufundi kuwa na uwiano mpana wa kupanga program za mazoezi.

Anasema kuwa tangu timu  iliporejea kutoka jijini Arusha wakati wa maandalizi ya Tamasha la Simba Day kikosi kilifanyika mazoezi katika Uwanja wa boko Veterans kutokana na viwanja vyao kuwa katika ukarabati.

Hata hivyo anasema kuwa wachezaji wote waliosajiriwa  wamehudhuria na mazoezi na wako tayari Kwa mchezo huo wa mkubwa wa ufunguzi wa msimu mpya wa ligi 2021/2022

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here