Home BUSINESS BRELA YAWAHUDUMIA WANANCHI ZAIDI YA 200 NA KUTOA VYETI PAPO KWA HAPO...

BRELA YAWAHUDUMIA WANANCHI ZAIDI YA 200 NA KUTOA VYETI PAPO KWA HAPO MAONESHO YA MADINI GEITA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!



 Maofisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wameendelea kutoa huduma za papo kwa papo za usajili wa majina ya biashara na makampuni na kuwakabidhi vyeti wadau waliofika katika taasisi hiyo, kwenye maonesho ya Nne ya Teknolojia kwenye Sekta ya Madini yanayoendelea katika uwanja wa EPZ eneo la Bomba Mbili mkoani Geita.

Zifuatazo ni picha mbalimbali za utoaji wa vyeti Papo kwa hapo kwenye Banda la BRELA.