Home LOCAL RAIS DKT.MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA UCHUMI WA BULUU

RAIS DKT.MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA UCHUMI WA BULUU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya Uchumi wa Buluu ikiwasilishwa na Mtafiti Mwandamizi Taasisi ya Ungozi Prof. Joseph Semboja, akiwasilishwa wakati wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Suleiman Hemed Abdulla, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi.Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Abdalla Hussein Kombo na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Maulid.(Picha na Ikulu)
MTAFITI Mwandamizi Taasisi ya Uongozi Prof.Joseph Semboja akiwasilisha Mada kuu kuhusiana na Uchumi wa Buluu wakati wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyika kazi zao Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua rasmin kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here