Home SPORTS PROF. MAKUBI ASHIRIKI BONANZA LA MAZOEZI JIJINI DAR.

PROF. MAKUBI ASHIRIKI BONANZA LA MAZOEZI JIJINI DAR.

DAR ES SALAAM.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo ameshiriki Bonanza la Mazoezi ya kutembea lililoanzia Mlimani City Dar kwa ajili ya kuchangia mil 100 kwa watoto njiti  Kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Katika bonanza Hilo Prof. Makubi amehamasisha wananchi  kufanya mazoezi Mara kwa Mara ili kujikinga na Magonjwa yasiyoambukiza

Pia Prof. Makubi amehamasisha wananchi kujiunga na  Bima ya afya. 

Katibu Mkuu huyo alimwakilishwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here