Home LOCAL JATU YAKARIBISHA MABALOZI WAPYA.

JATU YAKARIBISHA MABALOZI WAPYA.

NA:RICHARD MRUSHA.

kampuni inayojihusiha na uuzaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo Jatu imetambulisha mabalozi wao wanne ( 4 ) akizungumza wakati wa utambulisho wa mabalozi hao.

Momahedi issa simbano  ambae ni meneja wa kampuni hiyo amesema lengo la kuongeza mabalozi hao ni kutanua  wigo wa watu na kuweza kutambua umuhimu wa kununua hisa zinazouzwa kwenye kampuni hiyo.

aidha amesema tangu walivyo anzisha hiyo  ya  uuzaji wa  hisa kumekuwa na muamko mkubwa wa watanzania  kununua hisa  lakini Nia yao ni kuhakikisha Kila mtanzania anunua hisa izo 

“ikumbukwe mnamo June 6 jatu walitangaza kuuza hisa zao kwa gharama ya elufu tano (5000) ili kuongeza wigo mpana wa kufanya biashara ambapo zoezi Hilo limepolekwa vizuri na watanzania” amesama maeneja huyo.

miongoni mwa mabalozi waliotambulishwa leo no mwijaku ambae amesema amefuraishwa Sana kuwa balozi wa kampuni hiyo na ameahidi kuhamasisha watu wengi kununua hisa za kampuni iyo na kusema ata Anza na hisa za laki3 

Nae mchekeshaji marufu mau fundi  amewapongeza jatu kuwa miongoni mwa  balozi wa jatu pia ameweza kuwashuru jatu kwa  kuungana na kampuni ya jatu na kuwapongeza kwa kuanzisha utaratibu wa  kuuza hisa  na kuaihidi atahakikisha anawashawishi watanzania wanunue kwa wingi hisa hizo 

kampuni ya jatu imezamilia kuhakikisha Kila mtu ananunua hisa ili kukuza wigo wa biashara ya kilimo kwa watanzania.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here