Home BUSINESS BRELA YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA BIASHARA NJOMBE.

BRELA YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA BIASHARA NJOMBE.

Baadhi ya Maafisa Biashara kutoka mikoa ya Iringa, Ruvuma na Njombe  wakisikiliza kwa makini mafunzo ya sheria ya Leseni za Biashara yaliyotolewa na Afisa kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni  (BRELA),  Bw. Abas Cothema (hayupo pichani) mapema leo tarehe 14 Juni, 2021, katika Ukumbi wa Mlimani Motel Mkoani Njombe.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here