ENTERTAINMENTS
STARTIMES KUENDELEA KUUNGA MKONO LIGI YA CHAMPIONSHIP
KAMPUNI ya Startimes imesema itaendelea kuunga mkono Ligi ya Championship ili kuwapa nafasi vijana kuonesha vipaji na kujiuza kimataifa.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam...
CLOUDS MEDIA YAMPA TUZO YA HESHIMA MSAMA
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akipokea tuzo ya heshima kutoka Clouds Media Group, kwa kuchambua mchango wake mkubwa kwa kuwa mwanzilishi wa kipindi...
KIKAO CHA WADAU WA UMWAGILIAJI MWAMKULU CHAFANA
NIRC Katavi
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji NIRC imefanya Mkutano wa Wadau wa Umwagiliaji kwa Skimu za Mwamkulu na Kabage Mkoani Katavi
Mkutano huo umejumuisha...
TAMASHA LA TWEN’ZETU KWA YESU KUTIKISA DSM JUNI 15, 2024
Naibu Katibu Mkuu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mchungaji Wilbroad Mastai akizungumza na waandishi wa habari leo...
MREMBO AKATAA OFA YA Ksh.150.000 KUTOA KWA MBUNGE ALIYEMPA MIMBA
KENYA
Mrembo Easter Atieno kutoka Busia alikuwa katika uhusiano wa siri kwa miaka miwili na mbunge mmoja kutoka Magharibi mwa Kenya, wawili hao walionekana kinachowakutanisha...
MREMBO WA NAIROBI KUTOKA BIASHARA DUNI HADI KUWA MFANYABIASHARA WA KIMATAIFA
Mwanamke mmoja aitwaye Vanessa Malema alifungua kibanda chake kando ya barabara ya Moi Avenue Nairobi nchini Kenya miaka mitatu iliyopita na kuanza biashara ambayo...