SEKTA YA UGANI KUPEWA HESHIMA NCHINI
Maafisa Ugani 23 wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wamepewa moyo na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na kuelezwa Serikali imewekeza...
SKIMU ZA UMWAGILIAJI, MBOLEA NA MATREKTA KULETA MATUMAINI KWA WAKULIMA WA...
Ziara ya ukaguzi wa skimu za umwagiliaji na maendeleo ya upembuzi yakinifu wa skimu za umwagiliaji imeendelea leo tarehe 14 Septemba 2024...
WANANCHI WATAKIWA KUTAMBUA NA KUTHAMINI MIRADI YA MAENDELEO
Na: MWANDISHI WETU
SERIKALI imewataka wananchi kutambua na kuthamini uwekezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao na kuacha imani potofu katika utekelezaji wa...
USHIRIKA WATAKIWA KUSAIDIA KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dkt. Suleiman Serera, ameeleza kuwa, Serikali inaitaji kuona Ushirika wa...
JKT YASAINI MKATABA NA REA KUWEZESHA MRADI WA KUFUNGA MIFUMO YA...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy,...
BASHE NA MPINA: MAENDELEO KWANZA, SIASA PEMBENI
“Wananchi wa Kisesa tunaenda kuandika historia kubwa kwenye nchi yetu, tupo kwenye mkutano huu pamoja kwa ajili ya maendeleo. Waziri Hussein Bashe Unakaribishwa sana...