Joseph Nelson
MAGAZETI YA LEO J.MOSI JUNI 26-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
THBUB YATOA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU KWA WATUMISHI WA AFYA...
Sehemu ya Washiriki wa warsha ya mafunzo ya haki za binadamu na utawala bora kwa watumishi wa sekta ya afya hospitali ya rufaa Dodoma...
HALMASHAURI ZA DAR ES SALAAM ZATAKIWA KUJIEPUSHA NA HATI CHAFU.
DAR ES SALAAM.Katibu tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Hassan Abas Rungwa amezitaka Halmashauri za Mkoa huo kuhakikisha zinaendesha shughuli zao kwa kuzingatia...
BILIONI 9 ZALIPWA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI DODOMA.
Na: Abubakari akida, DODOMA.Shilingi Bilioni 9.1 zimelipwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga...
RAIS SAMIA: TAASISI ZA DINI ZINA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUDUMISHA AMANI,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania TEC katika ukumbi...
RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania TEC katika ukumbi...