Joseph Nelson
MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AHUTUBIA NA KUFUNGA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akifunga Wiki ya Maadhimisho ya 17 ya Kumbukizi ya Hayati...
MAJALIWA: TUTAENDELEA KUSIMAMIA BEI NZURI YA MAZAO.
DODOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia bei nzuri ya mazao...
NEEC YAWAHIMIZA WAFANYABIASHARA GEITA KUKITUMIA KITUO CHA UWEZESHAJI KILICHOPO MKOANI HAPO.
GEITABaraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limewataka Wananchi na Wafanyabiashara kukitumia kituo cha Uwezeshaji Geita ili kuweza kutambua na kutumia fursa zinazojitokeza Mkoani...
WAKAGUZI WA NDANI BARA LA AFRIKA WAKUTANA JIJINI ARUSHA.
Mwenyekiti wa Taasisi ya wakaguzi bara la Afrika(AFIIA) Emmanuel Johanes akioongea na waandishi wa habari katika mkutano wao wa saba.Jafary Kachenje Mkaguzi mkuu wa...
VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 27-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
MADIWANI WAASWA KUWA DARAJA KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI 2020-2025.
DODOMA.Madiwani wa watokanao na Chama Cha Mapinduzi nchini wameaswa kuwa daraja la utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-25 kutokana na...