Home LOCAL RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MISUNGWI...

RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MISUNGWI MKOANI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungulia maji kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni leo tarehe 14 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta utepe kuzindua mradi wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni katika hafla iliyofanyika Misungwi mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi mara baada kuzindua mradi wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni leo tarehe 14 Juni, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia na kuyashika maji mara baada ya kuzindua mradi huo wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni leo tarehe 14 Juni, 2021.
PICHA NA IKULU



Previous articleACT WAZALENDO WAMLILIA PROF. BAREGU
Next articleWAAJIRI SEKTA BINAFSI SASA KULIPA ASILIMIA 0.6 YA MICHANGO YA WAFANYAKAZI KWENYE MFUKO WA WCF; SERIKALI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here