Home LOCAL BALOZI NCHIMBI BUNGENI AKIFUATILIA BAJETI

BALOZI NCHIMBI BUNGENI AKIFUATILIA BAJETI

Matukio mbalimbali katika picha, yakimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akiwa ndani na nje ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kabla, wakati na baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali iliyosomwa na Waziri wa Fedha, Ndugu Mwingulu Lameck Nchemba, leo Alhamis, Juni 13, 2024.

Balozi Nchimbi alimbatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, Ndugu Ally Hapi, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ndugu Suzan Kunambi na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Ndugu Jokate Urban Mwegelo.

 

Previous articleDAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUZINDULIWA RASMI JULAI 1,2024 KIGOMA
Next articleSHULE YA SEKONDARI YA UFUNDI MTWARA YAOKOA MAMILIONI YA FEDHA, MATUMIZI YA GESI ASILIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here