Home LOCAL BALOZI NCHIMBI AONGOZA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU, MGOMBEA URAIS WA FRELIMO

BALOZI NCHIMBI AONGOZA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU, MGOMBEA URAIS WA FRELIMO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewaongoza viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, ngazi ya taifa na Mkoa wa Dodoma, kumpokea Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha Msumbiji (FRELIMO), Komredi Daniel Francisco Chapo, ambaye pia ni mgombea urais mteule wa FRELIMO, kwenye Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika mwaka huu mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma, leo Jumatano Juni 12, 2024.

 

Previous articleRAIS SAMIA AMUAGIZA MSAJILI WA HAZINA KUFUATILIA HESABU ZA MASHIRIKA YOTE KWENYE MFUMO
Next articleWAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WATUMISHI WA UMMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here