Home LOCAL WAZIRI NDALICHAKO AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SHIVYAWATA MKOA WA SINGIDA

WAZIRI NDALICHAKO AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SHIVYAWATA MKOA WA SINGIDA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) kutoka Mkoa wa Singida walipomtembelea katika Ofisi yake iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma Februari 8, 2022. Kushoto ni Mwenyekiti wa SHIVYAWATA Mkoa wa Singida Bw. Khamis Ayoub na kulia ni Katibu wa SHIVYAWATA Mkoa wa Singida Bw. Ramadhani Mrisho. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU (KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)
Previous articleDKT. TULIA AHUDHURIA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI KUU
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI ASUBUHI YA LEO J.TANO FEBRUARI 9-2022

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here