Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWENYE MAADHIMISHO YA JUBILEE YA MIAKA 50 YA UTUME...

RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWENYE MAADHIMISHO YA JUBILEE YA MIAKA 50 YA UTUME NA HUDUMA YA KANISA LA WA ADVENTISTA WASABATO JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato pamoja na Viongozi wengine, alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Jamii katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, Jimbo la kati mwa Tanzania, tarehe 19 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivishwa Skafu alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Jamii katika Kanisa la Waadventista wa Sabato tarehe 19 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Waasisi wa Injili wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Dodoma kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Jamii katika Kanisa la Waadventista wa wa Sabato yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 19 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoa kitambaa kama ishara ya kuzindua rasmi Mnara wa kumbukumbu ya Jubilee ya miaka 50 ya Utume na Huduma za Jami Dodoma, wakati wa Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, Jimbo la kati mwa Tanzania, yaliyofanyika Uhindini kati SDA Jijini Dodoma tarehe 19 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Waumini wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 19 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu  mradi wa Ujenzi wa Kanisa Jipya la Waadventista wa Sabato katika eneo la Uhindini Jijini Dodoma tarehe 19 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kanisa la Waadventista wa Sabato pamoja na Wananchi baada ya kukagyua mradi wa Ujenzi wa Kanisa Jipya la Waadventista wa Sabato katika eneo la Uhindini Jijini Dodoma tarehe 19 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kanisa la Waadventista wa Sabato pamoja na Wananchi baada ya kukagyua mradi wa Ujenzi wa Kanisa Jipya la Waadventista wa Sabato katika eneo la Uhindini Jijini Dodoma tarehe 19 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi mbalimbali wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, akiwa katika Picha ya pamoja wakati wa Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania,  Jimbo la kati mwa Tanzania, yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 19 Novemba, 2022.

Previous articleMAFANIKIO YAMBEBA MNDOLWA, ATAJWA KUTETEA KITI CHAKE.
Next articleJUNGU: BADO KUNA CHANGAMOTO YA KURATIBU MATUKIO YA VIONGOZI WA KITAIFA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here