Home LOCAL DKT NCHIMBI AMESHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA ABOUBAKARY LIONGO

DKT NCHIMBI AMESHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA ABOUBAKARY LIONGO

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu.

Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu)pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali akiwemo Tido Mhando, Issa Michuzi pamoja na Viongozi wengine wa Chama na serikali.

Previous articleVYAMA VYA USHIRIKA BADILIKENI
Next articleTANECU YAANZA SAFARI YA USHIRIKA IMARA KWA KUZINDUA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here