Home BUSINESS RAIS SAMIA AKISHIRIKI ZOEZI LA KUCHAMBUA MAHINDI MBINGA

RAIS SAMIA AKISHIRIKI ZOEZI LA KUCHAMBUA MAHINDI MBINGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kuchambua mahindi bora na wakulima ili kuyauza katika Kituo cha Ununuzi wa Nafaka cha Mbinga – Sokoni, Mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba 2024. 
Aidha, Mhe. Rais Dkt. Samia pia amepokea taarifa kutoka kwa Dkt. Andrew Komba, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuhusu shughuli za uendeshaji wa ununuzi katika Kituo hicho na kukagua mizani ya kidigitali.
Previous articleRAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BANDARI YA MBAMBABAY
Next articleRAIS SAMIA ATIKISA NYASA AKIFUNGUA MRADI MUHIMU NA KUANZISHA MWINGINE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here