Home LOCAL RAIS WA IPU DKT. TULIA ACKSON AFUNGUA KIKAO CHA KIBUNGE NEW YORK...

RAIS WA IPU DKT. TULIA ACKSON AFUNGUA KIKAO CHA KIBUNGE NEW YORK MAREKANI

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akifungua Kikao cha Kibunge wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Juu la Siasa la Umoja wa Mataifa juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu, Jijini New York, Marekani leo tarehe 16 Julai, 2024.

Kikao hiki kinaangazia lengo nambari 16 lenye kusisitiza Amani, Haki na Taasisi madhubuti. Aidha, namna ambavyo Mabunge yatasaidia kuzishauri na kuzisimamia Serikali zao katika kutimiza lengo hilo.

Mabunge yameshauriwa kujikita kwenye uwazi, usawa na uwajibikaji kama njia mojawapo ya kutimiza lengo linaloangaziwa.

Previous articleRAIS DKT. SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI NA UKARABATI KIWANJA CHA NDEGE SUMBAWANGA NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI
Next articleSOMA MAGAZETI YA LEO JULAI 17-2024
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here