Home BUSINESS TANZANIA COMMERCIAL BANK YAZINDUA TAWI JIPYA KUFANYA KAZI SAA 24

TANZANIA COMMERCIAL BANK YAZINDUA TAWI JIPYA KUFANYA KAZI SAA 24

Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Sabasaba Moshingi (watatu kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi la benki hiyo lililozinduliwa leo katika Jengo la makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) lililopo posta jijini Dar es Salaam ambapo tawi hilo litakuwa likifanya kazi masaa 24 ili kuhakikisha wafanya biashara wanapata huduma ya kifedha muda wote wengine pichani kutoka kushoto ni Meneja wa Mawsiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta,Mkurugenzi wa Masoko Deo Kwiyuka, Meneja wa TCB Tawi la TPA, Anastela Kabudi, Mkurugenzi wa Sheria, Mystica Mapunda Mkurugenzi wa Hazina wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Wenceslaus Fungamtama pamoja na maa fisa wengine wa TCB

Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Sabasaba Moshingi (kushoto), akifungua kisanduku maalum kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi la benki hiyo lililozinduliwa leo katika Jengo la Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) lililopo posta jijini Dar es Salaamambapo tawi hilo litakuwa likifanya kazi masaa 24 ili kuhakikisha wafanya biashara wanapata huduma ya kifedha muda wote  wengine pichani Mkurugenzi wa Masoko wa benki hiyo Deo Kwiyuka, pamoja na Meneja wa TCB Tawi la TPA, Anastela KabudiAfisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Sabasaba Moshingi akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tawi jipya la Benki hiyo lililozinduliwa leo katika Jengo la Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) lililopo posta jijini Dar es Salaam ambapo tawi hilo litakuwa likifanya kazi masaa 24 ili kuhakikisha wafanya biashara wanapata huduma ya kifedha muda wote Meneja Tanzania Commercial Bnk TCB Tawi la TPA, Anastela Kabudi akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tawi jipya la Benki hiyo lililozinduliwa leo katika Jengo la Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) lililopo posta jijini Dar es Salaam ambapo tawi hilo litakuwa likifanya kazi masaa 24 ili kuhakikisha wafanya biashara wanapata huduma ya kifedha muda wote.

Previous articleKAIMU KATIBU MKUU GUGU AONGOZA KIKAO CHA 6 CHA TNBC JIJINI DAR
Next articleKAIMU KATIBU MKUU GUGU AONGOZA KIKAO CHA 6 CHA TNBC JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here