Home BUSINESS MAGU YATAFUTA MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA WAFUGAJI KATIKA HIFADHI YA SAYAKA

MAGU YATAFUTA MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA WAFUGAJI KATIKA HIFADHI YA SAYAKA

Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Salum Kali amekutana na viongozi wa Chama na Serikali wa Wilaya hiyo kujadili mikakati ya kutatua changamoto ya wafugaji katika Hifadhi ya Sayaka Wilaya ya Magu.

Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Magu.

Mhe.Kali amesema moja ya mwarobaini wa tatizo hilo ni kujenga malambo ya kunyweshea mifugo ili kuzuia wananchi kuingiza mifugo hiyo hifadhini.

Naye, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe Mary Masanja amesema suala la uvamizi wa hifadhi ya Sayaka linatakiwa kutatuliwa kwa kushirikisha Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Previous articleBILIONI 17 ZATOLEWA KUBORESHA HUDUMA ZA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHAN
Next articleWAZIRI SIMBACHAWENE AMSHUKURU RAIS KWA FEDHA ZA MIRADI MIRADI YA MAENDELEO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here