Home LOCAL RAIS SAMIA ASHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA TANZANIA THE ROYAL TOUR –...

RAIS SAMIA ASHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA TANZANIA THE ROYAL TOUR – JIJINI NEW YORK, MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York Nchini Marekani tarehe 18 April,2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitazama Filamu ya Royal Tour pamoja na wageni mbalimbali mashuhuri New York nchini Marekani tarehe 18 April, 2022.
 Wageni mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani tarehe 18 Aprili, 2022.

Kikundi cha ngoma za asili kutoka Bagamoyo kikitumbuiza katika uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York, nchini Marekani Tarehe 18 April.2022.

Wageni mbalimbali wakielekea ukumbini kushuhudua uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royl Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York, nchini Marekani tarehe 18 April,2022. PICHA NA: IKULU.

Previous articleWAKRITO WATAKIWA KUONESHA MATENDO YA HURUMA NA KUTOA SADAKA KWA MAKUNDI YA WATU WENYE UHITAJI
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI JUMANNE YA LEO APRILI 19-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here