Home INTERNATIONAL MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI KUAGWA KWA MWAI KIBAKI KENYA

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI KUAGWA KWA MWAI KIBAKI KENYA

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo amemuwakilisha Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya kitaifa ya  aliyekuwa Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya ,Hayati Emilio  Mwai Kibaki. Ibada ya kumuaga Hayati Mwai Kibaki imefanyika katika Uwanja wa Nyayo uliopo Nairobi nchini Kenya na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta. 

Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa mbalimbali, wawakilishi wa taasisi za kitaifa na kimataifa pamoja na mabalozi, wananchi wa Kenya na nchi jirani wamehudhuria kuagwa kwa Hayati Mwai Kibaki.

Previous articleASILIMIA 10 YA WATU WANAOISHI AFRIKA WANA UGONJWA SUGU WA FIGO
Next articleRAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU TALIB HAJI JECHA NA MAREHEMU MWANAIDI KASSIM ALI MTEGANI MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here