Home BUSINESS BENKI YA CRDB IMETOA SWADAKA KWA AJILI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI...

BENKI YA CRDB IMETOA SWADAKA KWA AJILI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile.
 

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Benki ya CRDB mara baada ya Benki hiyo kumkabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Previous articleWANANCHI WAISHUKURU RUWASA KISHAPU KUWAFUNGIA MOTA MPYA MRADI WA MAJI NG’WANG’HOLO – NYENZE
Next articleNIC YATARAJIA KUTOA GAWIO KWA SERIKALI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here