Home BUSINESS BENKI YA EXIM, MASTERCARD ZAINGIA MAKUBALIANO KUBORESHA MALIPO YA KIDIJITALI

BENKI YA EXIM, MASTERCARD ZAINGIA MAKUBALIANO KUBORESHA MALIPO YA KIDIJITALI

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (Kulia walioketi) na Rais wa Mastercard Kanda ya Africa, Kusini mwa Jangwa la Sahara Bw. Mark Elliot (Kushoto walioketi) wakitia saini makubaliano ya ushirikiano wa miaka 5 ili kuendeleza ubunifu kupitia njia ya malipo ya kidijitali nchini ikiwa pia ni jitihada za benki hiyo za kutoa ufumbuzi wa hali ya juu wa kibenki kwa wateja wake ili kwenda sambamba na mabadiliko ya haraka ambayo sekta ya huduma za kifedha inashuhudia.

Hafla ya utiaji saini huo ilifanyika Makao Makuu ya Benki ya Exim jijini Dar es Salaam hivi karibuni ikishuhdiwa na wawakilishi kutoka pande zote mbili.
Previous articleCCM KATA YA ILALA YAADHIMISHA MIAKA 45YA CCM KWA KUKAGUA MIRADI
Next articleMHE. RAIS SAMIA ATEMBELEA HOSPITALI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MKOANI MARA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here