Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MJUMBE MAALUM WA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA WA...

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MJUMBE MAALUM WA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA WA MASUALA YA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA UINGEREZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara Mhe. Lord Walney wa kwanza kulia katika mji wa Glasgow, Scotland tarehe 31 Oktoba, 2021.” (PICHA: NA IKULU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza anayeshugulikia masuala ya Biashara kati ya Tanzania na Uingereza Mhe. Lord Walney wa kwanza kulia katika mji wa Glasgow, Scotland tarehe 31 Oktoba, 2021.” (PICHA: NA IKULU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara kati ya Tanzania na Uingereza Mhe. Lord Walney mara baada ya kuzungumza naye katika mji wa Glasgow, Scotland tarehe 31 Oktoba, 2021. Mhe Rais Samia ameshawasili Glasgow kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi (COP 26).” (PICHA: NA IKULU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara kati ya Tanzania na Uingereza Mhe. Lord Walney mara baada ya kuzungumza naye katika mji wa Glasgow, Scotland tarehe 31 Oktoba, 2021. Wengine katika picha wa kwanza (Kushoto) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberatha Mulamula na wa kwanza (kulia) ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha Rose Migiro” (PICHA: NA IKULU)

Previous articleKUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI YA LEO J.TATU NOVEMBA 1-2021
Next articleDKT. GWAJIMA ATOA WITO WATAALAMU KUTOA ELIMU YA USONJI KWA JAMII.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here