Home LOCAL DKT.MPANGO AHUTUBIA HAFLA YA UFUNGUZI WA MTANDAO WA SALA NA MAOMBI DODOMA DKT.MPANGO AHUTUBIA HAFLA YA UFUNGUZI WA MTANDAO WA SALA NA MAOMBI DODOMA By Joseph Nelson - Juni 12, 2021 FacebookTwitterTelegramWhatsAppCopy URL Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akihutubia kwenye Hafla ya nne ya ufunguzi wa Mtandao wa Sala na Maombi ya Kitaifa na Kimataifa katika Ukumbi wa Morena Jijini Dodoma leo Juni 12,2021.