Home LOCAL RAIS SAMIA AHUTUBIA MABUNGE MAWILI YA KENYA ( BUNGE LA KENYA NA... RAIS SAMIA AHUTUBIA MABUNGE MAWILI YA KENYA ( BUNGE LA KENYA NA BUNGE LA SENETI) JIJINI NAIROBI By Joseph Nelson - Mei 5, 2021 FacebookTwitterTelegramWhatsAppCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya kwa pamoja Jijini Nairobi leo tarehe 05, Mei, 2021.