ENTERTAINMENTS
NIMEKWAMA NDANI YAKO NINI KINAENDELEA?
" Ndivyo nilivyomfundisha mume wangu somo la usaliti
Wiki kadhaa zilizopita wakati rafiki yangu wa utotoni, Lucy alinijia akiwa katika hali ya huzuni kubwa...
GETHSEMANE GROUP KINONDONI(GGK) WAACHIA VIDEO YA BWANA WASTAHILI
Na: Mwandishi Wetu
WAIMBAJI maarufu nchini kutoka Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA wameachia video ya wimbo wao mpya unaoitwa Bwana Wastahili.
Video ya wimbo huo imeachiwa leo...
WAZIRI KAIRUKI AHAMASISHA WADAU KUIBUA MATAMASHA KUCHAGIZA UTALII NCHINI
Mikoa na Wilaya yatakiwa kutangaza utalii na fursa za uwekezaji.
Na: Happiness Shayo - Same
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amefungua rasmi...
WAREMBO WA BINTI AFRIKA WAANZA KUTIFUANA VIKALI KUELEKEA UZINDUZI MWEZI UJAO
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni KL International Argency, Alfonce Mkama Ntare Akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa mkutano huo.
Warembo zaidi ya ishirini...
AIWAKILISHA VYEMA TANZANIA
Na: Mwandishi Wetu
AMEIWAKILISHA vema Tanzania!Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya mwanamitindo Jasinta David Makwabe(25) kufanikiwa kuingia katika washindi watano bora wa mashindano ya Future Face...
MWANAMITINDO JASINTA MAKWEBE KUIWAKILISHA TANZANIA MASHINDANO YA FUTURE FACE 2023 NIGERIA
Na Mwandishi Wetu
MWANAMITINDO Jasinta David Makwabe(25) mwenye urefu wa 5’11 Ft ambaye amechaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano makubwa ya Future Face 2023 yanayotarajia kufanyika...