Home LOCAL MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AZULU KABURI LA HAYATI RAIS MAGUFULI CHATO.

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AZULU KABURI LA HAYATI RAIS MAGUFULI CHATO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizuru Kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposi mama kwa muda Wilayani Chato alipokuwa njiani akielekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma kwa ajili ya kufunga Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM za Jimbo la Muhambwe kwa ajili ya UIchaguzi Mdogo wa Kiti cha Ubunge unaotarajiwa kufanyika Jumapili tarehe 16 Mei 2021 kufuatia Kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hayati Nditye.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Engineer Gabriel pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Chato Mkoani Geita leo Mei 14,2021

Previous articleLIVERPOOL YAICHAPA MAN U. 4-2
Next articleWAKILI MADELEKA: SERIKALI IENDELEE KUWATAFUTA WAHUSIKA WA VIZA ZA KUGHUSHI.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here