Home SPORTS TANZANITE YAICHAPA 3-2 BURUNDI CECAFA

TANZANITE YAICHAPA 3-2 BURUNDI CECAFA

TANZANIA imeendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya  CECAFA wanawake chini ya umri wa miaka 20 baada ya kuichapa Burundi 3-2 leo Uwanja wa FTC Njeru nchini Uganda

Mabao ya Tanzanite leo yamefungwa na Mwamvua Haruna dakika ya 60 kwa penalti, Clara Luvanga dakika ya 80 na Emiliana Isaya dakika ya 83.
Tanzanite iliyoshunda 1-0 dhidi ya Eritrea Jumamosi bao pekee la Clara Luvanga dakika ya 90 – itashuka tena dimbani Jumatano kumenyana na Ethiopia, kabla ya kuivaa Uganda Jumamosi na kukamilisha mechi zake kwa kucheza na Djibouti Novemba 9.

Previous articleTANZANIA KUNUNUA MAFUTA MOJA KWA MOJA KUTOKA MITAMBONI
Next articleRUSHWA NA TAMADUNI ZA JAMII MBALIMBALI KICHOCHEO MAKOSA YA UKATILI WA KINGONO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here