Home LOCAL TANZANIA NA KENYA KUENDELEA AWAMU YA PILI UIMARISHAJI MPAKA

TANZANIA NA KENYA KUENDELEA AWAMU YA PILI UIMARISHAJI MPAKA


Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Hamdouny Mansoor (wa pili kulia) na Mtendaji Mkuu Ofisi ya Mipaka ya Kimataifa nchini Kenya Bi. Juster Nkoroi (Kushoto) wakisaini Mapango Kazi wa Makubaliano ya kuanza utekelezaji kazi ya Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa wa nchi hizo awamu ya pili tarehe 14 April 2022 wilayani Tarime mkoani Mara.


Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Hamdouny Mansoor (wa pili kulia) na Mtendaji Mkuu Ofisi ya Mipaka ya Kimataifa nchini Kenya Bi. Juster Nkoroi (Kushoto) wakibadilishana hati ya makubaliano ya Mpango Kazi wa utekelezaji kazi ya Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa wa nchi hizo awamu ya pili tarehe 14 April 2022 wilayani Tarime mkoani Mara.


Previous articleDIASPORA AWAVUTIA WATAFITI WA MALIGHAFI ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Next articleRAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA NATIONAL DEMOCRATIC INSTITUTE JIJINI WASHINGTON MAREKANI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here