Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA NATIONAL DEMOCRATIC...

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA NATIONAL DEMOCRATIC INSTITUTE JIJINI WASHINGTON MAREKANI


   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Mazungumzo na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell  Jijini Washington Nchini Marekani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell aliyeambatana na Ujumbe wake Jijini Washington Nchini Marekani

Previous articleTANZANIA NA KENYA KUENDELEA AWAMU YA PILI UIMARISHAJI MPAKA
Next articleWAKAZI WA NYASA WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE KAMPENI YA UCHUNGUZI WA KIFUA KIKUU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here