Home LOCAL RAIS DKT SAMIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA MAKAMPUNI YA VODACOM

RAIS DKT SAMIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA MAKAMPUNI YA VODACOM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.

   

Previous articleWAZIRI MKUU ASEMA LISHE BORA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI
Next articleTANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA SANAA YA MITINDO WA BRICS+ MOSCOW URUSI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here