Home LOCAL TUDUMISHE UTAMADUNI WETU-MHE.RAIS SAMIA

TUDUMISHE UTAMADUNI WETU-MHE.RAIS SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza mchezo wa bao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Majimaji mjini Songea kwa ajili ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda ya Maonesho kwenye Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji mkoani Songea tarehe 23 Septemba, 2024.

Sehemu ya Wananchi wa Songea waliohudhuria Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji mkoani Songea tarehe 23 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Watoto wawili juu ya gari wakiwapungia mkono Wananchi wa Songea mara baada ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji mkoani Songea tarehe 23 Septemba, 2024.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu akiwa kwenye picha za matukio mbalimbali pamoja na Machifu wa Ruvuma, pia akitoa heshima kwenye makaburi ya mashujaa waliopigania uhuru katika vita ya majimaji alipotembelea katika makumbusho ya mashujaa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Songea Baba Askofu Damian Dallu katika makazi yake yaliyopo Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea la Mtakatifu Mathias Mulumba Kalemba, leo tarehe 23 Septemba, 2024.

Previous articleDKT.BITEKO AKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here