Home LOCAL RAIS SAMIA AFUNGUA SHULE YA MSINGI MCHEPUO WA KIINGEREZA YA CHIEF ZULU...

RAIS SAMIA AFUNGUA SHULE YA MSINGI MCHEPUO WA KIINGEREZA YA CHIEF ZULU SONGEA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Teofilo Mbunda kuhusu matumizi ya Computer shuleni hapo, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya Madarasa ya Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, mara baada ya ufunguzi mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu kuhusu matumizi ya Computer shuleni hapo, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Previous articleRAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MTYANGIMBOLE KWA NIABA YA MIRADI 30 YA MAJI MKOANI RUVUMA
Next articleMHE.RAIS ATEMBELEA SHAMBA LA KAHAWA AVIV RUVUMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here