Home LOCAL RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA

RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan
ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Mji wa Serikali Mtumbau Dodoma.

Maadhimisho hayo yamefanyika katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma Julai 25, 2024.

Katika maadhimisho hayo Rais Samia ameweka silaha za Asili (Mkuki Ngao) na shada la maua
kwenye mnara wa Mashujaa Wakati wa Maadhimisho hayo.

Previous articleSGR YAANZA SAFARI ZAKE DAR ES SALAAM – DODOMA
Next articleMKURUGENZI WA TIC AELEZA FAIDA ZA UBORESHWAJI WA SHERIA YA UWEKEZAJI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here