Home BUSINESS TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MILIKI UBUNIFU DUNIANI

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MILIKI UBUNIFU DUNIANI

Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa, Geneva Uswisi, Mhe.  Maimuna Kibenga Tarishi (katikati), katika Mkutano Mkuu wa 63 wa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO), unaofanyika Geneva Uswisi. Kutoka kushoto ni Msajili Msaidizi Mkuu wa BRELA  Bi. Loy Mhando, Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA  Bw. Godfrey Nyaisa, Mkurugenzi Mtedaji wa Wakala wa Usajili wa Bishara na Mali,  (BPRA) Zanzibar, Bi. Mariam Mliwa Jecha  na  Mkuu wa Idara ya Uraghbishi wa Ushindani kutoka  wa Tume ya Ushindani (FCC) Bi. Magdalena  Utouh.

Previous articleMAGEUZI MAKUBWA YA KILIMO NDIO YATAKAYOWAINUA WANANCHI WA KIBAKWE
Next articleWAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU NNE SINGIDA KESHO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here