Home ENTERTAINMENTS NGOMA MPYA KUTOKA KWA AGGY BABY Ft Mr. LG – ‘ON THE...

NGOMA MPYA KUTOKA KWA AGGY BABY Ft Mr. LG – ‘ON THE BED’

Msanii Aggy Baby.

Msanii wa Bongo Fleva Agness Suleiman maarufu ‘Aggy Baby’ ameachia wimbo Mpya unaitwa ‘On The Bed’ wenye mtindo wa Amapiano aliomshirikisha msanii Mr LG.

Tayari wimbo huu unapatikana kwenye platform zote za muziki za mitandaoni ikiwemo Boomplay, Youtube.

Mbali ya kuimba pia Aggy Baby ni rapa , msanii wa filamu , mtunzi, Mwandishi wa nyimbo na Mwanaharakati wa Vijana katika mambo ya kusaidia jamii.

Sikiliza Muziki huu mzuri Brand New hit #OntheBed Aggy Baby ft Mr LG

Share na Marafiki na wapendanao na usisahau ku subscribe youtube account ya Aggybaby.
 

Previous articleKAMPENI YA MBUNGE BONAH KUTOA TAULO ZA KIKE YASHIKA KASI SEGEREA
Next articleDIASPORA AWAVUTIA WATAFITI WA MALIGHAFI ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here