Home LOCAL MAJALIWA ASHIRIKI UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA SHINA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

MAJALIWA ASHIRIKI UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA SHINA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga kura kuwachagua viongozi wa Shina namba moja Tawi la Nanguruwe. Uchaguzi huo umefanyika katika Kata ya Nandagala Ruangwa mkoani Lindi Aprili 16, 2022. Chama cha Mapinduzi kipo katika hatua za  kufanya chaguzi za ndani.

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shina baada ya kupiga  kura kuwachagua viongozi wa Shina namba moja Tawi la Nanguruwe. Uchaguzi huo umefanyika katika Kata ya Nandagala Ruangwa mkoani Lindi Aprili 16, 2022. Chama cha Mapinduzi kipo katika hatua za  kufanya chaguzi za ndani.

Previous articleWANAWAKE NCHINI HAWAJANUFAIKA NA RASILIMALI ZINAZOPATIKANA KWENYE MISITU
Next articleRC SINGIDA AWAKUMBUKA YATIMA SIKUKUU YA PASAKA, ATOA FUTARI KWA WANAFUNZI WAISLAM WA CHUO CHA UTUMISHI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here