Home LOCAL RAIS DK. MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOTELI YA...

RAIS DK. MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOTELI YA KITALII KIZIMKAZI ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazini Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mkurugenzi wa Mradi huo Bw.Ahmed Saber akionda kipazia, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi wa Hoteli hiyo Kizimkazini.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto) Mkurugenzi wa Mradi huo Bw.Ahmed Saber, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Soranga, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamkaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar.(ZIPA) Bw.Sharif Ali Sharif, wakipoga makofi baada ya kuwekwa kwa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmmoja wa Uongozi wake.Dk Mwinyi


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandishi wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazini Mwinyi Sarboko, akitowa maelezo ya ujenzi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ujenzi huo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.

WANANCHI wa Kizimkazi wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii, ikiwa ni shamrashamra ua kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasisi Beach Resort, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.(Picha na Ikulu)


Previous articleTANZANIA YAJIPANGA KUPAMBANA NA UKEKETAJI UNAOVUKA MIPAKA
Next articleJAMII IELIMISHWE KUHUSU USONJI-DKT. GWAJIMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here